Monday 11 February 2013

KUJIUZULU KWA POPE BENEDICT XVI, SABABU YA UZEE

Makao makuu ya kanisa Catholic, Vatican yamethibitisha kwamba Pope Benedict VXI ametangaza leo kuwa atajuizulu 28 february 2013 sababu ya umri.


Pope Benedict VXI alizaliwa nchini Ujerumani mwaka 1927 na alichaguliwa kuwa Pope 19 April 2005 kufuatia kifo cha Pope John Paul II.

No comments:

Post a Comment