21:45 Chelsea 2-1 Benfica
21:45 Real Madrid 5-2 Apoel Nicosia
NB: Saa za Afrika Mashariki
Real Madrid wameingia nusu final bila mjadala wowote, uenda watafanikiwa kucheza finali.
Ushindi wa Chelsea ni wa mbinde, kazi ipo dhidi ya Barcelona.
Mechi za nusu final 17 April 2012: Chelsea v Barcelona , Bayern Munich v Real Madrid
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Chelsea walishinda 1-0 mechi ya awali, lakini sio ticket kwamba wameshaingia nusu finali, lolote laweza tokea! Chelsea wakishinda ni sawa na kujitia kitanzi, sababu kucheza na Barcelona ni ngoma nzito.
Real waliwachapa Apoel 3-0, angalau matumaini ni makubwa zaidi, labda kwa Real Madrid leo ni kama mazoezi ya mechi ya nusu fainali dhidi ya Bayern Munich.
Mechi za kesho: UEFA Ligi ya EUROPA
Athletic Bilbao v Schalke, Metalist Kharkiv v Sporting, Hannover 96 v Atletico Madrid, Valencia v Alkmaar
No comments:
Post a Comment