Tuesday, 27 March 2012

MECHI ZA 27 MARCH 2012 - KOMBE LA FA UINGEREZA

21:30 Tottenham 3-1 Bolton
22:00 Sunderland 0-2 Everton

NB: Saa za Afrika Mashariki

Kwa matokeo haya Tottenham na Everton zimeingia nusu finali ya kombe la FA na mechi zitachezwa kama ifuatavyo:-

14 April 2012: Liverpool v Everton 
15 April 2012: Tottenham v Chelsea

No comments:

Post a Comment