Tuesday, 27 March 2012

MECHI ZA 27 MARCH 2012 - UEFA LIGI YA MABINGWA

21:45 Apoel Nicosia 0-3 Real Madrid
21:45 Benfica 0-1 Chelsea

NB: Saa za Afrika Mashariki

Chelsea wameibua ushindi kwa bao muhimu la ugenini, kazi bado mechi ya marudiano (tarehe 04 April) kibao kinaweza kugeuka! 

Kujua yaliyojiri mechi za FA leo hii angalia hapo juu

Kesho: AC Milan v Barcelona, Marseille v Bayern Munich

No comments:

Post a Comment