Tuesday, 31 January 2012

MECHI ZA 31 JAN 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

22:45 Swansea 1-1 Chelsea
22:45 Tottenham 3-1 Wigan
22:45 Wolves 0-3 Liverpool
23:00 Everton 1-0 Man City
23:00 Man Utd 2-0 Stoke

NB: Saa za Afrika Mashariki

Leo ni mechi za vigogo! Tuseme Top Four, kasoro Liverpool iliyopo nafasi ya 7.

Ushindi wa Liverpool umewasogeza mpaka nafasi ya 5 toka ya 7 na kuisukuma Arsenal na Newcastle mpaka nafasi ya 6 na 7. 

-Swansea walitoa kichapo cha 3-2 kwa Arsenal, Jan 15, leo Chelsea wameponea kupoteza mechi na kusawazisha dk za mwisho!

-Man City wamepata kichapo toka kwa Everton na kupoteza point tatu muhimu, ni zawadi kwa Man Utd wamefikisha point sawa na Man City!

Msimamo wa Top 7 ulivyo (point kwenye mabano): Man City (54), Man Utd (54), Tottenham (49), Chelsea (42), Liverpol (38), Arsenal (38), Newcastle (36)

Kesho mechi kibao zikiwepo: blackburn v Newcaslte, Bolton v Arsenal, nk

No comments:

Post a Comment