19:00 Arsenal 3-2 Aston villa
16:30 Sunderland 1-1 Middlesbrough
NB Saa za Afrika Mashariki
-Arsenal wangepewea nini tena, gunia la chawa! Uwanja wa nyumbani ilikuwa kama ni ushindi. Hatimaye kizunguzungu chao akijawasumbua leo. Hongera kwa washabiki wa the Guners
-Bila kusahau poleni washabiki wa Man Utd aka Mashetwaaani Wekundu. Hongera washabiki wa Liverpool aka Bwawa la Maini!
No comments:
Post a Comment