Saturday, 28 January 2012

MECHI ZA 28 JAN 2012 AFRICA CUP OF NATIONS

Kundi D:
19:00 Botswana 1-6 Guinea
22:00 Ghana 2-0 Mali

NB: Saa za Afrika Mashariki

-Botswana imefanywa kitu cha ajabu, ina kilima cha kupanda ili kufika robo final, inahitaji kushinda magoli mengi mechi dhidi ya Mali kuwa na matumaini ya kusonga robo final!

-Guinea kama watashinda dhidi ya Ghana 01 Feb, ni wazi watasonga robo final, matokeo ambayo ni sawa na ndoto za alinacha, huku wakijua matokeo ya Botswana v Mali yatatoa jawabu la mwisho. 

-Ghana wame maliza kati, mechi inayofuata ni mazoezi ya robo final. Mali bado safari ni ngumu, tegemeo kubwa ni kuomba Guinea ipoteze mechi ya 01 Feb dhidi ya Ghana!

-Mali na Guinea ni kama zitakuwa zinafanya kazi ya kupiga chabo mechi zao za funga dimba hiyo 01 Feb, huku wakijua kushinda kwa Botswana kutaweza kubadili mwelekeo wa juhudi zao.

Mechi za mwisho kundi hili ni  01 Feb: Botswana v Mali, Ghana v Guinea 

No comments:

Post a Comment