Friday, 27 January 2012

RAISI KIKWETE AKICHANGIA MADA KUHUSU AFRIKA - DAVOS 2012

Raisi Jakaya Kikwete, waziri mkuu wa Kenya R.Odinga, rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi, raisi wa Guinea Alpha Konde, walivyo jadili mikakati jinsi ya kuinua hali ya uchumi wa Afrika, mwongoza mada alikuwa waziri mkuu mstaafu wa Uingereza, Gordon Brown.






No comments:

Post a Comment