15:45 Norwich 0-0 Chelsea
18:00 Everton 1-1 Blackburn
18:00 Fulham 5-2 Newcastle
18:00 QPR 3-1 Wigan
18:00 Stoke 1-2 West Brom
18:00 Sunderland 2-0 Swansea
18:00 Wolves 2-3 Aston Villa
20:30 Bolton 3-1 Liverpool
NB: Saa za Afrika Mashariki
-Wachezaji wengi wa ligi hii wamerudi Afrika kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika, umuhimu wa wachezaji hao katika ligi hii umeonekana rasmi leo.
-Liverpool na Newcastle wamepoteza nafasi nzuri ya kupanda nafasi ya tano na ya sita!. Matokeo hayo yameisaidia Arsenal kubaki nafasi ya tano.
-Bolton imevuna ushindi mnono dhidi ya Liverpool (aka bwawa la maini) na kujikwamua kutoka mkiani hadi nafasi ya 17! Pole ziwaendee bwawa la maini.
-Chelsea inazidi kusuasua, imeshindwa kupunguza tofauti ya point dhidi ya Tottenham kwa kuambulia sare. Zawadi kwa Arsenal !
-QPR imefanya kazi ya ziada kuvuna point tatu muhimu, mzigo umeelekezwa Wigani na kushika mkia kwenye msimamo wa ligi!
KESHO-kwa saa za Afrika Mashariki- Man city v Tottenham (15:30), Arsenal v Man Utd (19:00).
No comments:
Post a Comment