Saturday, 21 January 2012

MECHI ZA 21 JAN 2012 - AFRICA CUP OF NATION

21:30 Equatorial Guinea 1-0 Libya
00:00 Senagal 1-2 Zambia

NB: Saa za Afrika Mashariki


-Leo Macho na masikio ya wapenda kabumbu duniani yanaelekezwa kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika. Mechi za fungua dimba zinaanza na Kundi A, nani ataibuka mbabe ama mshika mkia? 

-Libya bado wana uchovu wa vita, wamepoteza mechi ya leo.

-Wana Chipolopolo (Zambia) waibuka kidedea

No comments:

Post a Comment