16:30 Man City 3-2 Tottenham
19:00 Arsenal 1-2 Man Utd
NB: Saa za Afrika Mashariki
-Timu za Mji wa Manchester zimedhihirisha ubabe wa kusakata kabumbu dhidi ya timu za London!
-Man City wanaendelea kuongoza ligi, baada ya ushindi wa leo.
-Tottenham inaendelea kusuasua kwa kukosa point tatu muhimu. Matokeo ya leo ni kama zawadi kwa Chelsea na Arsenal!
-Arsenal imeshindwa kulipa kisasi leo na kupoteza mechi nyingine dhidi ya Man Utd. Juhudi za kucheza Champions League msimu ujao bado ni tete!
-Man Utd imeendelea na juhudi za kuifukuzia Man City kutafuta ubingwa wa msimu huu.
-Top five ilivyokuwa kabla ya mechi za leo (point kwenye mabano):- 1.Man City (51), 2.Man Utd (48), 3.Tottenham(46), 4.Chelsea (41), 5.Arsenal (36)
-Top five baada ya mechi za leo (point kwenye mabano):- 1. Man City (54) 2.Man Utd (51) 3.Tottenham (46) 4.Chelsea (41) Arsenal (36)
Mechi ya tarehe 25 Jan, Jumatano (Kombe la Carling , 22:45 ) : Liverpool v Man City
No comments:
Post a Comment