Tuesday 9 August 2011

TOTAL MADNESS !

Hata kama ni fujo , hizi zemezidi kipimo this is total madness!

Cha kushangaza wanaofanya uaribifu huu ni vijana wadogo , je wazazi wao wanawajibika vipi? Hata watu wazima wakiwaona awawezi kuwakemea kuacha uaribifu huu, wanapishana nao na kuwaangalia, tofauti na Tz ambapo wazazi na watu wazima wanakauli kwa watoto, hata mitaani yakitokea haya viongozi wa mitaa wanaweza kuitisha mikutano ya kupambana na uovu kama huu.

Lakini lazima kuna sababu iliyochangia utovu huu wa nidhamu, labda malezi, ama wazazi kutokuwajibika etc. This kids are out of control.

http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/3741353/Woman-leaps-from-block-of-flats-into-the-arms-of-cops-in-third-night-of-London-rioting.html

http://www.bbc.co.uk/news/uk-england-london-14450248

No comments:

Post a Comment