Thursday, 25 August 2011

DRAW YA UEFA LIGI YA MABINGWA

Baada ya Arsenal kuibuka kidedea kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Udinese ya Italy jana usiku. Leo itajulikana nani atacheza na nani baada ya uchambuzi wa mechi kufanyika inazousisha timu 32 zilifikia hatua hiyo.

Draw hiyo itafanyika 18:45 (East African times)

for more- http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/14653974.stm
 
             

No comments:

Post a Comment