Waandishi wa habari 35 na wageni wengine waliokuwa wamezuiliwa kutoka kwenye hoteli ya Rixos wameachiwa huru. Waandisha wote wametoka salama wakiwa kwenye idadi ya magari tano.
Rixos Hotel ilikuwa ikitumika na uongozi wa Gaddafi kutoa taarifa mbalimbali kwa waandishi wa habari, lakini kwa siku tano walizuiliwa kutoka na askari wa Gaddafi walidai kwamba waandishi hao ni wapelelezi wa NATO .
for more- http://edition.cnn.com/2011/WORLD/africa/08/24/libya.trapped.journalists/index.html?hpt=hp_t1
No comments:
Post a Comment