Tuesday 21 May 2013

PROFESSOR JAY NDANI YA CHADEMA

Joseph Haule aka Professor Jay amejiunga rasmi na CHADEMA na kukabidhiwa kadi yake ya uanachama na mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu.


Pichani, Kulia ni Mh Joseph Mbilinyi akiwa na Joseph Haule.

No comments:

Post a Comment