Sunday, 8 April 2012

MECHI ZA 08 APRIL 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:30 Man Utd 2-0 QPR
18:00 Arsenal 1-0 Man City

NB: Saa za Afrika Mashariki

Kwa ushindi huu Man Utd wanaendelea kuwatimulia vumbi Man City kwa kufikisha point 79, tofauti ya point 8!

Arsenal yawafundisha adabu Man City na kufikisha point 61 na kurudi nafasi ya 3, tofauti ya point 2 dhidi ya Tottenham.


----------------------------------------------------------------------------------------------
M'Utd inaongoza ligi ikiwa na 76, ikishinda itakuwa mbele kwa point 8 kama M'City itapoteza mechi dhidi ya Arsenal.

Arsenal ina point 58 kwenye nafasi ya 4 nyuma ya Tottenham yenye point 59. Ushindi kwa Arsenal ni muhimu ili kuongeza matumaini ya kumaliza kwenye top 4, kwani Chelsea na Newcastle zina point 56 na ni tishio kuchukua nafasi ya 4 na 3.

Man City ikipoteza leo ni kama kujitoa kwenye mbio za kutafuta ubingwa wa msimu huu!

Kesho: Everton v Sunderland, Newcastle v Bolton, Tottenham v Norwich, Aston Villa v Stoke , Fulham v Chelsea

No comments:

Post a Comment