Thursday 23 May 2013

FUJO ZA MTWARA NA MATOKEO YAKE

Jumatano, 22 May 2013, Mji wa Mtwara ulighubikwa na fujo za aina yake zilizoibuka baada ya Waziri wa Wizara ya Madini, Prof Sospeter Mhongo  kusoma budget ya wizara hiyo iliyosisitiza kujengwa kwa bomba la gas kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam.

Wananchi wenye hasira walichukua hatua hizo kuonyesha kupinga kwao mpango wa ujenzi wa bomba hilo.


Baadhi ya matokeo ya hasira za wananchi wa Mtwara.

............

No comments:

Post a Comment