22:45 Borrusia Dortmund 1 - 2 Bayern Munich
NB: Saa za Afrika Mashariki
Bayern yanyakua kombe la Uefa Ligi ya Mabingwa
Bayern ilipata bao la kwanza dk ya 60, bao lililodumu dk 8 ambapo Borrusia ilipo sawazisha. Kazi ya ziada iliyofanywa na Robben aliyefanikiwa kupata bao la ushindi dk 2 kabla ya kipenga cha mwisho.
No comments:
Post a Comment