Sunday, 19 May 2013

MECHI ZA 19 MAY 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

19:00 Chelsea  2 - 1  Everton
19:00 Liverpool  1 - 0 Queens P Rangers
19:00 Manchester City  2 - 3 Norwich City
19:00 Newcastle Utd  0 - 1  Arsenal
19:00 Southampton  1 - 1  Stoke City
19:00 Swansea City  0 - 3  Fulham
19:00 Tottenham Hotspurs 1 - 0 Sunderland
19:00 West Bromwich 5 - 5 Manchester Utd
19:00 West Ham Utd  4 - 2   Reading
19:00 Wigan Athletic  2 - 2 Aston Villa

NB: Saa za Afrika Mashariki

Arsenal yafanikisha lengo la kucheza Uefa Ligi ya Mabingwa msimu ujao, Tottenham yaambulia nafasi yakucheza Ligi ya Europa.

Msimamo, top 7 (point mabanoni): 1.Man Utd (89), 2.Manchester City (75), 3.Chelsea (75), 4.Arsenal (73), 5.Tottenham (72), 6.Everton (63), 7.Liverpool (61)

Zilizoshuka daraja: Wigan (36), Reading (28) na Queens Park Rangers (25)

-----------------------------------------------------------------------------------------------------
Asiye na mwana .......! Ni mechi za mwisho kwa msimu huu wa 2012 / 13.

Washabiki wa Tottenham na Arsenal miguu sawaaa! Ni ya siku ya kulia machozi ya furaha ama ya uchungu baada ya kujua  kama ni nafasi ya nne ama ya tano, aka Ligi ya mabingwa ama Ligi ya Europa msimu ujao, jibu baada ya dk 90.

Kazi kwa Chelsea kujimarisha katika nafasi ya tatu, kwani ushindi kwa Arsenal utaleta utata kwenye nafasi hiyo.

Jumamosi, 25 May 2013: Fainali, Uefa Ligi ya Mabingwa: Borrusia Dortumund v Bayern Munich

No comments:

Post a Comment