Monday 11 February 2013

MECHI ZA LEO, 11 FEB 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

23:00 Liverpool 0 - 2 West Bromwich Albion

NB: Saa za Afrika ya Mashariki

Zimebakia mechi 12 kufunga msimu!

Kwa mwendo huu Bwawa la maini (Liverpool)  linaelekea kukauka kabisa! Imekubali kuvutwa nyuma nafasi moja mpk nafasi ya 9 na kuipisha West Brom kuchukua nafasi ya 8, kwenye uwanja wa nyumani! 

----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Hii ni mechi ya vuta  kuvute! Liverpool ipo nafasi ya 8 na inazo point 36, West Brom ipo nafasi ya 9 ikiwa na point 34.

No comments:

Post a Comment