15:45 Tottenham 2 - 1 Newcastle Utd
18:00 Chelsea 4 - 1 Wigan Athletics
18:00 Norwich City 0 - 0 Fulham
18:00 Stoke City 2 - 1 Reading
18:00 Sunderland 0 - 1 Arsenal
18:00 Swansea City 4 - 1 Queens Park Rangers
20:30 Southampton 3 - 1 Manchester City
NB: Saa za Afrika ya Mashariki
Man City yapata kichapo na kuipa Man Utd nafasi ya kupaa!
Chelsea sasa inaichungulia Man City wakati Arsenal na Tottenham nazo zinainyemelea Chelsea!
Msimamo ulivyo- top 10 ( point mabanoni): 1.Man Utd (62), 2.Man City (53), 3.Chelsea (49), 4.Tottenham (48), 5.Arsenal (44), 6.Everton (42), 7.Swansea (37), 8.Liverpool (36), 9. West Brom (34), 10.Stoke (33)
Kesho: Aston Villa v West Ham Utd, Manchester Utd v Everton
No comments:
Post a Comment