Saturday, 9 February 2013

MECHI YA 09 FEB 2013 - KOMBE LA MATAIFA YA AFRICA (CAF 2013), kutafuta mshindi wa tatu

21:00 Mali  3 - 1  Ghana

NB: Saa za Afrika ya Mashariki

Mali imefanikiwa kuchukua nafasi ya tatu CAF 2013

Timu hizi mbili zilitoka kundi B na zimekutana katika mpambano wa kutafuta mshindi wa nafasi ya tatu!

Kesho fainali : Nigeria v Burkina Faso


No comments:

Post a Comment