Saturday, 2 February 2013

MECHI ZA 02 FEB 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:45 Queens Park Rangers 0- 0  Norwich City
18:00 Arsenal  1 - 0  Stoke City
18:00 Everton  3 - 3  Aston Villa
18:00 Newcastle  3 - 2  Chelsea
18:00 Reading  2 - 1  Sunderland
18:00 West Ham Utd  1 - 0  Swansea
18:00 Wigan Athletics  2 - 2  Southampton
20:30 Fulham  0 - 1  Manchester Utd

NB: Saa za Afrika Mashariki

Chelsea ilimnunua Demba Ba kutoka Newscastle, lakini Newcastle imewanyuka!

Msimamo wa top ten (point mabanoni): 1.Man U (62), 2. Man City (52), 3 Chelsea (46), 4.Tottenham (42), 5.Everton (42), 6.Arsenal (41), 7.Liverpool (35), 8.Swansea (34), 9.West Brom (34), 10.Stoke (30)

-------------------------------------------------------------------------------------------------------- 
Kichekesho: Mechi ya kwanza ni kati ya timu inayoshikilia mkia kwenye ligi QPR dhidi ya Norwich na mechi ya mwisho ni kati ya timu inayo ongoza ligi, Man Utd dhidi ya Fulham!

Kesho: West Bromwich v Tottenham, Manchester City v Liverpool

Kwa mechi za CAF 2013 angalia habari inafuata hapo juu

No comments:

Post a Comment