18:00 Ghana 2 - 0 Cape Verde
21:30 South Africa 2 - 4 Mali
NB: Saa za Afrika Mashariki
Mali yaingi robo fainali baada ya ushindi wa penalty 3 dhidi ya 1. Dakika 120 zilimalizika kwa sare ya 1-1.
Ghana kucheza robo fainali, Cape Verde teke home!
------------------------------------------------------------------------------------------------------
Formula = kushinda ili kucheza nusu fainali ama kushindwa na kufungasha virago!
Wenyeji wa mashindano haya, Afrika Kusini watafurukuta dhidi ya Mali? Ghana nao watatokaje? Si ajabu kuona Cape Verde wameingia nusu fainali na Mali kuishangaza Afrika Kusini.
Kesho: Ivory Coast v Nigeria, Burkina Faso v Togo
Kwa mechi za ligi kuu ya Uingereza, angalia habari iliyotangulia hapo chini..
No comments:
Post a Comment