Saturday 2 February 2013

ZIARA ZA RAIS J.KIKWETE NJE YA NCHI MWEZI JAN 2013

Baadhi ya ziara za mwezi Jan katika picha:

19 - 23 Jan 2013 France: kwa mwaliko wa raiss wa Ufaransa, Fracois Hollande


Rais Kikwete kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Hollande kwenye ikulu (Champs L'Elyesee) mjini Paris (21 Jan)


Rais Kikwete na mwenyeji wake Francois Hollande baada ya mazungumzo kwenye ikulu mjini Paris


Rais Kikwete akiagwa kwenye kiwanja cha cha Orly, baada ya ziara kukamilika

No comments:

Post a Comment