Tuesday 15 January 2013

RATIBA YA FAINALI ZA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA ( AFRICA CUP OF NATIONS ) - 2013

Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2013 (Afrika Cup of Nations) zitafanyika South Africa, zitaanza 19 January 2013 na kumalizika tarehe 10 Feb 2013.

Timu zimegawanywa katika makundi A, B, C na D, ambapo mechi za makundi zitachezwa kati ya   terehe 19 mpaka 30 February.

Mechi za robo finali zitachezwa tarehe 02 na 03 February na kufuatiwa na mechi za nusu fainali zitakazo fanyika 06 Feb.

Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu itafanyika 09 Feb wakati mechi ya fainali itafanyika 10 Feb.

Mechi za ufunguzi 19 Jan: South Africa v Cape Verde, Angola v Morocco.

Kuchungulia ratiba mzima twanga link http://www.cafonline.com/userfiles/file/Comp/CAN2013/Drawpdf.pdf

No comments:

Post a Comment