Wednesday 16 January 2013

MECHI ZA 16 JANUARY 2013 - KOMBE LA FA (UINGEREZA)

22:30 Arsenal 1 - 0 Swansea
23:05 Manchester Utd 1 - 0 West Ham Utd

NB Saa za Afrika Mashariki

Arsenal na Man U zaingia round ya nne.  

------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Baada ya timu hizi kutoka sare ya 2-2 kwenye mechi za kwanza zilizofanyika 05 na 06 Jan, leo lazima mshindi apatikane. Ni Arsenal na Man U kufungashwa virago?

No comments:

Post a Comment