22:45 Leeds Utd 1 - 5 Chelsea
NB: Saa za Afrika Mashariki
Chelsea imeingia nusu fainali, mechi zenyewe ni Chelsea v Swansea , na Bradford v Aston Villa zitakazo fanyika tarehe 7 January 2013. Mechi za marudiano zitakuwa 21 January 2013.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Jumapili ya 16 Dec, Chelsea ilishindwa kunyakua ubingwa wa Club World Cup baada ya kupata kichapo cha 1-0 dhidi ya Corinthians. Wiki iliyopita (11 Dec) kwenye mechi nyingine ya robo finali ya kombe hili la Capita One, timu ndogo ya Bradford iliwatoa Arsenal kwa kipigo cha 3-2, Chelsea itatoka vipi?
No comments:
Post a Comment