Monday 17 December 2012

MECHI ZA 17 DECEMBER 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

23:00 Reading 2 - 5 Arsenal

NB: Saa za Afrika mashariki

Arsenal imefikisha point 27 na kupanda mpaka nafasi ya 5.

Iliwachukua Arsenal dk 14 za kipindi cha kwanza kupata bao la kwanza kupitia Podolski, naye Cazorla akaendeleza sherehe ya magoli matatu dk ya 32, 34 (kipindi cha kwanza) na dk ya 15(kipindi cha pili). Arsenal wakachukua likizo na kupigwa bao mbili dk ya 21 na 28 za kipindi cha pili kabla ya Walcot kuipatia Arsenal bao la tano dk kumi kabla ya kipenga cha mwisho.

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Baada ya Arsenal kutolewa kwenye komble la Capital one kufuatia kichapo cha 3-2 dhidi ya Bradford kwenye mechi iliyochezwa 11 Dec 2012, nini kinafuata?

Arsenal inazo point 24 na ipo katika nafasi ya 8, kama itashinda dhidi ya Reading itapanda mpaka nafasi ya 5. Reading inazo point 9 na ipo kwenye nafasi ya 20 uenda itafanya kila jitihada kijitoa mkiani, kazi ipo.

Jumatano: Kombe la Capital One - Leeds Utd  v Chelsea

No comments:

Post a Comment