Saturday 3 November 2012

SIJUTI - JOHN MAKINI ft DUNGA

Kuna tofauti kubwa kati ya wanamuziki wa kizazi kipya tokea A- City (Arusha) na wengine. Wao wanapiga Bongo Hiphop na sio Bongo Flava, kwani wanatoa ujumbe halisi kuhusu kila kona ya maisha ya kila siku na sio kuelezea longolongo za mapenzi kila wakati!

John Makini anajivunia kuzaliwa eneo la Daraja Mbili, tofauti na wanaopenda kushow bling-bling, magari ya kifahari, majumba makubwa nk. Ajuti bali anajivunia, msikilize....

No comments:

Post a Comment