Saturday 3 November 2012

MECHI ZA 03 NOVEMBER 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:45 Manchester United 2 - 1 Arsenal
18:00 Fulham 2 - 2 Everton
18:00 Norwich City 1 - 0 Stoke City
18:00 Sunderland 0 - 1 Aston Villa
18:00 Swansea 1 - 1 Chelsea
18:00 Tottenham Hotspurs 0 - 1 Wigan Athletics
20:30 West Ham United 0 - 0 Manchester City

NB: Saa za Afrika Mashariki 

Man Utd inapaa, Arsenal njia panda, Chelsea yaanza kudidimia, Man City yakwama!

Chelsea yapoteza ushindi dk 2 kabla ya kipenga cha mwisho.

Van Parsie kama kawaida yake achezi mbali na nyavu, alichungulia lango la Arsenal dk ya 3 ya kipindi cha kwanza!!

Kipindi cha pili Man Utd iliendeleza mashambulizi na ilipofika dk ya 22 Evra alipachika bao la pili. Arsenal ilichofanya ni kuambulia red card (Wilshere) na kusubiri mpaka dk ya 90 kufunga bao la kufutia machozi kupitia Carzola.

Msimamo wa top 6 ulivyo (point mabanoni): 1.Man Utd (24), 2.Chelsea (23), 3.Man City (22), 4.Everton (17), 5.Tottenham (17), 6.Arsenal (15),

Matokeo ya mechi za kesho uenda yakaididimiza Arsenal!!!!!!

-----------------------------------------------------------------------------------------------------
Man Utd itamalizia hasira kwa Arsenal? Chelsea iliinyuka Man Utd  5-4 na kuitoa kwenye League Cup, Arsenal nayo, gundu la kufungwa alijatoweka na hivi wanakutana na msaliti Van Parsie!!!!

No comments:

Post a Comment