Saturday, 10 November 2012

MECHI ZA 10 NOVEMBER 2010 - LIGI KUU YA UINGEREZA

18:00 Arsenal 3 - 3 Fulham
18:00 Everton 2 - 1 Sunderland
18:00 Reading 0 - 0 Norwich City
18:00 Southampton 1 - 1 Swansea
18:00 Stoke City 1 - 0 Queens Park Rangers
18:00 Wigan Athletics 1 -2 West Bromwich
20:30 Aston Villa 2 - 3 Manchester Utd

NB: Saa za Afrika Mashariki

Man Utd wamefanikiwa kusawazisha bao mbili na kupata la ushindi, imejizatiti kileleni kwa kufikisha point 27.

Arsenal wao waliongoza kwa bao 2-0 mpaka dk ya 23, lakini Fulham ikasawazisha zote kabla ya mapumziko. Kipindi cha pili Fulham ilifanikiwa bao la 3 kabla ya Arsenal kusawazisha. Kibaya zaidi Arsenal ilishindwa kutumia penalty waliopata dk ya mwisho wa mchezo!!!! 

---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Man Utd inaongoza ikiwa na point 24, ushindi ni muhimu kuendelea kuongoza ligi, la sivyo Chelsea (23) na Man City (22) zitapanda juu. 

Arsenal ipo nafasi ya 7 Fulham nafasi ya 8, zote zina point 15. Arsenal inahitaji ushindi la sivo ikipoteza inaweza kujikuta imeshuka mpaka nafasi ya 9 kufuatia matokeo ya West Ham (15) dhidi ya Newcastle (14) kesho.

Kesho:Man City v Tottenham, Newcastle v West Ham Utd, Chelsea v Liverpool

No comments:

Post a Comment