Wednesday 31 October 2012

WANAFUNZI WA SHULE YA SECONDARY KIMYAKI (ARUSHA) WAANDAMANA, AWAMTAKI MKUU WA SHULE


Wanafunzi wa shule ya Secondary Kimnyaki, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha walindamana mpaka kwa mkuu wa mkoa wakitaka Mwalimu Mkuu wa shule hiyo atimuliwe.

Wanafunzi hao wanadai kwamba Mwalimu Mkuu wa shule hiyo anachangia na kufurahia matokeo mabaya ya shule hiyo.

Ingawa walishindwa kufanya maandamano hayo siku za nyuma kutokana na vikwazo vya polisi, safari hii wanafunzi hao walifanikiwa kutumia mbinu tofauti za kungia mjini mmoja mmoja hadi ofisi za mkuu wa mkoa.

Hata hivo mkuu wa mkoa wa Arusha, Mages Mulongo aliwapiga mkwara wanafunzi hao na kuwataka wafuate taratibu, pia aliwamrisha polisi kuwatia ndani viongozi wa maandamano.

                               Kiongozi wa maandamano Ezekiel Memir akiwa mikononi mwa polisi

Kusoma zaidi twanga link - http://pamelamollel.wordpress.com/2012/10/31/rc-atoa-amri-wanafunzi-watiwe-rumande/

No comments:

Post a Comment