Wednesday 31 October 2012

MECHI ZA 31 OCTOBER 2012 - LEAGUE (CAPITAL ONE) CUP UINGEREZA

22:45 Chelsea 5 - 4 Man Utd
22:45 Norwich 2 - 1 Tottenham
23:00 Liverpool 1 - 3 Swansea

NB: Saa za Afrika Mashariki

Chelsea yalipa kisasi kwa Man Utd!

Kipindi cha kwanza: Man Utd ilienda mapumziko ikiwa kifua mbele, 2-1.

Kipindi cha pili: Chelsea ikafanikiwa kusawazisha ndani ya dk 7 za kipindi cha pili. Lakini baada ya dk nyingine 7, Nani akaipatia Man Utd bao la 3. Chelsea awakukata tamaa hatimaye wakaambulia penalty ndani ya dk za majeruhi (dk 90) na kusawazisha.

Extra time: Sturidge apatia Chelsea bao ndani ya dk ya 7, Remires naye akafinga bao la 5 kabla ya Gigs kuipatia Man Utd bao la 4 dk 120. 

Mechi za robo fainal: Bradford v Arsenal (11 Dec 2012), Leeds Utd v Chelsea (19 Dec 2012), Norwich v Aston Villa, Swansea v Middlesbrough

No comments:

Post a Comment