Saturday 6 October 2012

ZIARA ZA RAIS KIKWETE NJE YA NCHI - SEPTEMBER 2012

Ni baadhi ya safari /ziara za rais Kikwete nje ya nchi kwa mwezi September 2012


11 September 2012, Kenya:  Pichani rais Kikwete wakati wa ziara ya siku tatu 



7 September 2012, Uganda:
-Picha ya kushoto:Rais Kikwete na mwenyeji wake rais Museveni,wakati wa mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu.
-Picha ya kulia: Rais Kikwete akiwa na makamu wa rais wa Kenya, Kalonzo Musyoka aliyeudhuria mkutano huo.



01/02 September 2012, Ethiopia: Rais Kikwete na Museveni kwenye mazishi ya aliyekuwa rais wa Ethiopia, Meles Zenawi.

No comments:

Post a Comment