Sunday, 28 October 2012

MECHI ZA 28 OCT 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

16:30 Everton 2 - 2 Liverpool
18:00 Newcastle Utd 2 - 1 West Bromwich
18:00 Southampton 1 - 2 Tottenham
19:00 Chelsea 2 - 3 Manchester Utd

NB: Saa za Afrika Mashariki
Chelsea yanywea kwa Man Utd!

Chelsea  imejikuta ikitoa zawadi ya bao la kujifunga dk ya 3(David Luiz),  Van Parsie naye ajachelewa kuongeza bao la pili dk ya 12.

Wakati Man Utd ikianza kusingizi na kusubiri muda wa mapunziko, Chelsea ikaongeza pressure na kupata bao dk 44,bao lililofungwa na Mata.

Kipindi cha pili: Chelsea iliendeleza mashambulizi na kupata bao la pili dk 8, kilichofuata kwa Chelsea ni kuambulia red card mbili (Ivanovic na Torres), na kutoa mwanya kwa Man Utd kupata bao la tatu dk ya 30 kupitia Hernandez.

Msimamo wa top 6 ( point mabanoni): 1.Chelsea (23), 2. Man Utd (21), 3.Man City (21), 4.Tottenham (17), 5.Everton (16), 6.Arsenal (15).  
   
Mechi nyingine Jumanne na Jumatano (30 Oct 2012 ) Capital One Cup (league Cup): Reading v Arsenal, Chelsea v Man Utd, Liverpool v Swansea, etc

No comments:

Post a Comment