Wednesday 3 October 2012

SABABU YA KILIMO KUSHUKA NA NJIA ZA KUBORESHA

Idadi ya watu inapanda lakini shughuli za kilimo zinashuka na kusababisha bei za vyakula kupanda.

Suluhisho ni kufanya kilimo kuwa sexy, na kuwavutia watu kushiriki kwenye kilimo.

Su Kihumbu ni mkulima na mfanya biashara aliyeanzisha iCow (www.icow.co.ke) nchini Kenya, amegundua kwamba kwa kutumia njia za mawasiliano, watu haswa vijana wanaweza kuvutiwa kushiriki kwenye shughuli za kilimo......

 

No comments:

Post a Comment