Sunday 26 August 2012

MECHI ZA 26 AUG 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:30 Stoke City 0-0 Arsenal
18:00 Liverpool 2-2 Manchester City

NB: Saa za Afrika Mashariki

Arsenal kama kawaaaa, Man City waponea !

Wakati Van Parsie mambo yake si mabaya Man Utd, Arsenal wao wanaendeleza gonga nyiiingi lakini magoli peupe! Mechi ya pili bila hata bao moja, mpaka liniiii?

Man City wameponea kupoteza mechi. Kipindi cha kwanza kilimalizika Liverpool kifua mbele kufuatia bao lililopatikana dk ya 34(Skrtel). Kipindi cha pili Man City wakasawazisha dk 64 (Yaya), lakini baada ya dk tatu kupita Liverpool wakaongeza bao la pili (Suarez), Tevez akaiokoa Man City kwa kuzawazisha dk 10 kabla ya mchezo kumalizika. 

--------------------------------------------------------------------------------------------------
Kazi ipo kati ya vibonde wa ligi (Liverpool aka Bwawa la maini) dhidi ya Mabingwa watetezi (Man City)!  

No comments:

Post a Comment