Saturday 25 August 2012

MECHI ZA 25 AUG 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

14:45 Swansea 3-0 West Ham Utd
17:00 Aston Villa 1-3 Everton
17:00 Manchester Utd 3-2 Fulham
17:00 Norwich city 1-1 QPR
17:00 Southampton 0-2 Wigan
17:00 Sunderland v Reading (imeahirishwa- uwanja kujaa maji kufuatia mvua kubwa)
17:00 Tottenham 1-1 West Bromwich
19:30 Chelsea 2-0 Newcastle Utd

NB: Saa za Afrika Mashariki

Van Parsie ameanza mambo yake, Rooney aumia!

Fulham walipata bao la kwanza dk 3  Kupiti Duff.  Van Parsie akasawazisha dk ya 10, na Shiji Kagawa akaongeza la pili dk ya 35, na Rafael akafunga bao la tatu dk ya 41. Man Utd walitoa zawadi kwa kujifunga bao dk ya 64 kupitia Nemaja Vidic.

Rooney atakuwa nje kwa muda baada ya kuumia dk za mwisho wa mchezo.

Kesho: Stoke City v Arsenal, Liverpool v Manchester City


No comments:

Post a Comment