Sunday 19 August 2012

MECHI ZA 19 AUG 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:30 Wigan 0-2 Chelsea
18:00 Manchester City 3-2 Southampton

NB: Saa za Afrika Mashariki

Nasri aiokoa Man City!

Man city walipata bao la kuongoza dk ya 40. Baada ya mapumziko Southampton wakawazisha katika dk ya 59, na dk 9 zilizofuata wakaongeza bao la pili, lakini baada ya dk 4 Man City wakasawazisha kupitia Dzeko. Na hatimaye Nasri akaipatia Man City bao la ushindi katika dk ya 80.     

Chelsea imeanza kwa ushindi, Ivanovic alipachika bao la kwanza dakika ya pili, na dakika ya saba Lampard akapachika bao la pili kwa njia ya penalty.


---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Man City iliibuka na ubingwa wa msimu wa 2011/12, wanaanza kutetea ubingwa wao kwa kukutana na timu iliyopanda daraja msimu huu!

Chelsea nayo itaonyesha makucha yake ama usingizi wa msimu uliopita bado unaendelea?

Kesho: Everton v Manchester Utd (22:00)

No comments:

Post a Comment