Monday 20 August 2012

MECHI ZA 20 AUG 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

22:00 Everton 1-0 Manchester Utd

NB:  Saa za Afrika Mashariki

Kipindi cha kwanza kilimalizika 0-0.

Baada ya kipindi cha pili kuanza, iliwachukua Everton dk 12 kupachika bao lililofungwa na Fellaini. Pamoja na Man Utd kufanya mabadiliko na kumchezesha Van Parsie, Everton waliongeza mashambulizi huku Man Utd wakihaha bila bao lolote!

Man Utd uenda hali si shwari msimu huu.

-----------------------------------------------------------------------------------------------------
Jumatano: Chelsea v Reading (21:45)

No comments:

Post a Comment