Monday 16 July 2012

SOLO THANG - MISS TANZANIA

Solo Thang ametoa single yenye ujumbe mzito kwa jina 'Miss Tanzania'

Miss Tanzania amehusishwa na sifa zifuatazo:-

Mchonga, Ruksa, Mt Kilimanjaro, Tanzanite, Geita(dhahabu), Benja akutoka Kapa, Handsome Boy, Songosongo, BoT, EPA, Bilali, Umeme, Lowasa, Mali asili, Nusu Karne (50 yrs ya Uhuru), Mbagala, Gongo la Mboto, n.k

Mafisadi watamfilisi Miss Tanzania!

Fumbua fumbo....

Kazi nzuri, Mungu mbariki Miss Tanzania

No comments:

Post a Comment