Sunday 15 July 2012

DANNY GARCIA AMTWANGA AMIR KHAN

Ndoto za Amir Khan kupambana na Mayweather zimeota majani baada ya kupigwa na Danny Garcia kwa TKO katika round ya nne.

Hii ni mara ya tatu kwa Amir kupigwa, wakati Garcia ameongeza idadi ya ushindi kuwa 24 bila kupigwa hata moja na kunyakua mkanda wa WBA kutoka kwa Khan.

Round ya nne ilivyokuwa....

No comments:

Post a Comment