Sunday 17 June 2012

MAJAMBOZ NDANI YA BIG BROTHER AFRICA 2012

Kwenye Big Brother Africa 2012 inayoendelea nchini South Africa, wawakishi wa watatu kutoka Ghana.

Wawili kati yao Keita na Eazzy wana mahusiano ya kimapenzi, ingawa uraiani awakuweka wazi lakini iliwalazimu kufichua siri hiyo kwa Big Brother mara walipoingia ndani ya jumba hilo.

Hivi karibuni walishindwa kuvumilia, nini kiliendelea wanajua wao......


No comments:

Post a Comment