Monday 18 June 2012

MECHI ZA 18 JUNE 2012 - UEFA EURO 2012

21:45 Croatia 0-1 Spain
21:45 Italy 2-0  R of Ireland

NB: Saa za Afrika Mashariki

Spain na Italy zimeingia robo final, kwahiyo zitapambana na washindi wa wawili wa kwanza wa kundi D watakao julikana kesho.

Croatia na R of Ireland zimetolewa kwenye michuano.


-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni zamu ya kundi hili la C kupata washindi wawili watakao pambana na washindi wawili wa kundi D watakao julikana Jumanne.

Kabla ya mechi hizi, Spain na Croatia zinaongoza zikiwa na point 4, Italy point 2, Rep of Ireland point 0.

Rep of Ireland aiwezi kusonga hata kama itashinda, zaidi ya kuwa ticket kwa Italy kuanga michuano hii.

Italy itaingia robo finali kama itashinda dhidi ya Ireland, na kutegemea matokeo ya mechi ya Croatia v Spain ambapo kama zitatoka sare, Italy italazimika kushinda kwa magoli ya kutosha ili ifanikiwe kusonga mbele.

Kesho ni group D: England v Ukraine, Sweden v France

No comments:

Post a Comment