Tuesday 1 May 2012

MECHI ZA 01 MAY 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

21:45 Liverpool 0-1 Fulham
21:45 Stoke City 1-1 Everton

NB: Saa za Afrika Mashariki

Bwawa laendelea kunyauka!

Kwa mtindo huu Liverpool lazima imalize nje ya top10, katika dakika ya 5 tu wamepigwa bao 1 lililodumu mpaka mwisho wa mechi. Liverpool itacheza na Chelsea jumamosi

Stoke imefikisha point 44 na kusogea kwenye nafasi ya 13 toka nafasi ya 14. 

Msimamo wa ulivyo (point mabanoni):-

1. Man City(83), 2.Man Utd(83), 3.Arsenal(65), 4.Tottenham(62), 5.Newcastle(62), 6.Cheslea(61),
7.Everton(52), 8.Liverpool(49), 9.Fulham(49), 10.West Bromwich(46), 11.Sunderland(45), 12.Swansea(44), 13.Stoke City(44), 14.Norwich(43), 15.Aston Villa(37), 16.Wigan(37), 17.QPR(34), 18.Bolton(34), 19.Blackburn(31), 20.Wolves(24)


----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Haya Bwawa (Liverpool) lilifurika na kuwazamisha Norwich 3-0 kwenye mechi ya 28 April, inazo point 49 kwenye nafasi ya 8, nyuma ya Everton yenye point 51.

Fulham ilifungwa 4-0 na Everton mechi ya 28 April.

Stoke ilitoa sare ya 1-1 dhidi ya Arsenal kwenye mechi ya 28 April, ipo nafasi ya 14 ikiwa na point 43.

Kesho: Chelsea v Newcastle, Bolton v Tottenham

No comments:

Post a Comment