Monday 23 April 2012

WANAWAKE WAANDAMANA 'MAZIWA NJE' KUPINGA UNYANYASAJI NCHINI UGANDA

Wanaharakati wanawake nchini Uganda wameandamana kwa kuweka maziwa wazi kama njia ya kupinga unyanyasaji wa kijinsia!


Wanawake hao wanapinga kitendo cha wiki iliyopita, ambapo askari nchini humo walimshika shika matiti  mwanasaisa wa kike (Ingrid ) wa chama cha FDC (Forum for Democratic Change) wakati wakimtaka ashuke toka kwenye gari lake ili wamtie nguvuni.

Angalia shikashika ya kiaina ilivyokuwa.......

No comments:

Post a Comment