Sunday 22 April 2012

LIGI KUU YA SPAIN - REAL MADRID YAICHAPA BARCELONA

Barcelona 1-2 Real Madrid

Baada ya kulimwa 1-0 na Chelsea kwenye Ligi ya Mabingwa (UEFA) wiki hii , Barcelona imeendelea na zoezi la kupata kibano toka kwa Real Madrid, katika mechi iliyochezwa Jumamosi, 21 April 2012.

Kwa matokeo haya Real Mardid inakaribia kuchukua ubingwa wa La Liga kwa kufikiasha point 88, ikifuatiwa na Barcelona yenye point 81, nafasi ya 3 inashikiliwa na Valencia yenye point 52.

Barcelona na Real Madrid zimecheza mechi 34 kila moja, na zimebakia mechi 4 za kumaliza msimu.

No comments:

Post a Comment