22:05 Athletic Bilbao 3-1 Sporting Lisbon
22:05 Valencia 0-1 Atletico Madrid
NB: Saa za Afrika Mashariki
Athletico Bilbao na Atletico Madrid kucheza fainali!
Mechi ya fainali itachezwa tarehe 9 May 2012, National Arena, Bucharest.
----------------------------------------------------------------------------------------------
Ni nusu fainali mechi za marudiano.
Katika mechi za awali Sporting waliwachapa Bilbao 2-1, na Athletico Madrid wakawafunga Valencia 4-2.
No comments:
Post a Comment