21:45 Bayern Munich 2-1 Real Madrid
NB: Saa za Afrika Mashariki
Bayern wametoa kichapo hivyo Real Madrid wanacho jivunia ni bao la ugenini. Mechi ya marudiano Jumatano ijayo 25 April 2012
Kwa upande wa Ligi kuu ya Uingereza: Reading ni timu mpya itakayo cheza kwenye ligi kuu msimu ujao.
------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni nusu fainali, ngwe ya kwanza kutafuta mshindi atakaye pambana na mshindi kati ya Chelsea na Barcelona.
No comments:
Post a Comment